Wanajimu katika maeneo tofauti ya bara Afrika wameona moto wa mviringo angani wakati wa kupatwa kwa jua. Jua hupatwa wakati ambapo mwezi huwa mbali na dunia ikilinganishwa na wakati jua ...
Tangu tukiwa wadogo, tulikuwa tunataka kuchora namna anga ilivyo, hatukuwa tunasita kuchagua rangi ya kuchora jua: Mara nyingi rangi iliyotumika sana ni njano. Kama tunataka kuipendezesha zaidi ...