Ilimlazimu baba kutumia kamba ya kiatu kufunga kitovu cha mtoto wake baada ya mkewe kujifungua akiwa ndani ya gari lao. Paul Doherty na mkewe Georgina, walikuwa njiani kuenda hospitalini wakati ...
Mwanamke wa Australia amewaita maafisa wa wanyama pori kumtoa nyoka wa urefu wa mita 1 mwenye sumu kali kutoka kwenye kiatu chake. Mnasa nyoka Rolly Burrell alimdhibiti nyoka huyo wa rangi ya ...