Ellyanne Wanjiku Chlystun alikuwa na umri wa miaka minne pekee alipochochewa kuchukua hatua kuhusu suala la kampeni ya ...
Maelezo ya sauti, Wanasayansi Kenya wamegundua dawa inayoangamiza mbu anayesababisha Malaria. 18 Aprili 2018 Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wanatarajiwa kufanya kikao maalum ...
Ulimwenguni, nchi 44 na eneo moja zimethibitishwa kuwa hazina malaria. Na kwa mujibu wa WHO, malaria inaua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka, 95% yao wakiwa barani Afrika .
Miaka 20 baada ya uchunguzi wake wa kwanza huko Ituri, ambao ulifanya iwezekane wababe kadhaa wa kivita kutiwa hatiani, ICC sasa itachunguza uhalifu wa hivi majuzi zaidi uliofanywa katika mkoa wa ...