Nomino ni majina yanayotaja mtu, kitu, mahali, jambo au hali fulani. Kabla ya kulidadavua suala la miundo ya nomino ambata, kwanza tufahamu aina zifuatazo za nomino katika lugha ya Kiswahili ...
Sampuli za vumbi kutoka katika mwamba hatari zaidi katika mfumo wa jua zimeletwa duniani. Shirika la anga za juu la Marekani Nasa lilipokea sampuli hiyo ikiwa katika chombo kidogo cha angani ...