Mahakama kuu nchini Kenya inasikiliza rufa iliyowasilishwa na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anayepinga mchakato wa ...
Bunge la kitaifa nchini Kenya, limeidhinisha jina la aliyekuwa Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki mwenye umri wa ...
NAIROBI, Kenya - Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa kazini Naibu Rais wa Taifa hilo, Rigathi Gachagua.
Waziri wa Ulinzi wa Kenya Aden Duale amesema kuwa Kenya itashinikiza mashtaka dhidi ya mwanajeshi yeyote wa Uingereza anayedaiwa kuvunja sheria wakati wanajeshi hao walipokuwa nchini humo miongo ...
ALIYEKUWA Makamu wa Rais Rigathi Gachagua ameondolewa haki ya ulinzi na usalama na kusema chochote kikimpata Rais William ...
RAIS William Ruto amemteua Prof. Kithure Kindiki kuchukua nafasi ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, ambaye ameondolewa ...
Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha ...
MAHAKAMA Kuu Nchini Kenya imetoa amri ya kusitisha utekelezaji wa azimio na Seneti na uteuzi wa Naibu Rais mpya hadi Oktoba ...
Gumzo la Harambee limeibuka tena nchini Kenya katika siku za hivi karibuni kufuatia agizo la Rais William Ruto kuwapiga marufuku watumishi wa serikali kujihusisha na shughuli za kutoa michango ...