Na kabla hatujazama kwenye mjadala huo, kwanza tujiulize katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu maandamano. Mwanasheria Rugemeleza Nshala, ambaye aliwahi kuwa rais wa chama cha wanasheria Tanganyika ...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa ...