搜索优化
Rewards
English
搜索
Copilot
图片
视频
地图
资讯
购物
更多
航班
旅游
酒店
房地产
笔记本
Top stories
Sports
U.S.
Local
World
Science
Technology
Entertainment
Business
More
Politics
过去 30 天
时间不限
过去 1 小时
过去 24 小时
过去 7 天
按相关度排序
按时间排序
Mtanzania
1 天
Rais Samia; anavyoinua Tanzania kwenye ramani ya maendeleo ya sekta ya madini
Oktoba 13, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alifunga rasmi Maonesho ya Saba ya ...
Mtanzania
1 天
Rais Samia aipongeza Wizara ya Madini kwa usimamizi madhubuti wa sekta
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Hassan ameipongeza wizara ya madini kwa usimamizi mzuri na madhubuti wa ...
Mtanzania
1 天
Vijana kunufaika kidijitali na fursa za Ununuzi wa Umma
Katika kutekeleza hili, Serikali imeweka mikakati kupitia Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023. Sheria hii inatoa fursa ...
Mtanzania
1 天
Wananchi Lindi wampongeza Rais Samia kwa bei nzuri ya korosho
Wakulima wa korosho mkoani Lindi wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake katika kuinua bei ya korosho, jambo ...
Mtanzania
1 天
Sekta binafsi yapongezwa kwa huduma bora
Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza ...
Mtanzania
1 天
TASAC yaonya vyombo vya mizigo kubeba abiria
SHIRIKA la Wakala wa Huduma za Meli Tanzania (TASAC) limewataka watanzania kuacha tabia ya kusafiri kwa kutumia vyombo vya ...
Mtanzania
2 天
PPRA yahimiza wananchi kutumia fursa ya sheria ya manunuzi kujikwamua kiuchumi
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Juma Mkobya, amewahimiza wananchi kutumia fursa zinazotolewa ...
Mtanzania
2 天
Kili MediAir yaendeleza huduma za uokozi na utalii wa anga kwa watalii nchini Tanzania
Kampuni ya Kili MediAir, inayotoa huduma za uokozi kwa njia ya anga nchini Tanzania, imeendelea kuboresha huduma zake na ...
Mtanzania
2 天
Serikali yawahakikishia wawekezaji usalama na fursa za faida Tanzania
Serikali imewahakikishia wawekezaji kwamba Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji na ina fursa nyingi za kibiashara zenye ...
Mtanzania
2 天
Rais Samia atua Mwanza kwa kishindo
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, mkoani Mwanza imeanza leo kwa hamasa kubwa, ...
Mtanzania
2 天
Tanzania yapanda nafasi ya 6 Duniani kwa ongezeko la watalii
“Juhudi za Rais Dk. Samia zimewezesha idadi ya watalii wa kimataifa wanaotembelea nchi yetu kukua kwa kasi, sambamba na ...
Mtanzania
2 天
Waziri Mkuu awataka Vijana kujiepusha na matumizi mabaya ya mitandao ya kidijitali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza vijana wa Tanzania kuepuka matumizi mabaya ya mitandao ya kidijitali ambayo yanaweza ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈